TAMBUA UTAJIRI WA TANZANIA, AMBAO HAUPATIKANI SEHEMU YEYOTE DUNIANI.

slider gif

Tanzania ni moja kati ya nchi ambazozimebarikiwa sana kwa maliasiri nyingi barania Afrika na Duniani kote. Mbuga kubwa za wanyama kamavile NGORONGORO, SERENGETI, MIKUMI na nyinginezo nyingi. mimi ni mmoja katiyawatu waliowahi kutembelea mbuga ya wanyama ya SERENGETI, nilijionea utajiri wa wanyamapori Tulionao tanzania. Nimeandika haya kwakuwaomba wa Tanzania wenzangu kuweza kutembelea mbugazetu za wanyama ili tujifunze mengi. umewahi kujiuliza kuwa: kwanini wazungu wanatokea Ulaya nakulipa pesanyingi kwaajili ya utalii?. sisi kama waTanzania tunatakiwa tujifunze mengi sana kutokana na utalii wetu.A


VOTE for Mt Kilimanjaro #Tanzania as Africa's Leading Tourist Attraction in World Travel Awards 2017.



DID YOU KNOW? Mount Kilimanjaro is the 2016 Africa's Leading Tourist Attraction.

HOW TO VOTE? Click link below, register&vote
Pigia kura Mt Kilimanjaro katika Tuzo za World Travel Awards 2017 kama Kivutio Bora Afrika.
JE WAJUA? Mlima Kilimanjaro ndio kivutio bora Afrika mwaka 2016.
Jinsi ya kupiga kura: bonyeza link hapa chini, jisajili (register), nenda kwenye majina (Africa nominees) kisha piga kura kwa kubonyeza kiduara pembeni mwa jina.

TUWE WAZALENDO WAKWELI, TUIPENDE NCHI YETU.

MUNGU ibariki Tanzania.
MUNGU ibariki Afrika.


TUJIVUNIE NCHIYETU  TANZANIA, TUJUVUNIE KUWA WATANZANIA.

Comments