MAAJABU YA AROVERA.

Alovera ni mmea wenye maajabu makubwa sana,kwa uwezo wake wa kutibu matatizo mbalimbali,hasa matatizo ya figo, ambayo yamekua nitatizo kwa tiba zake.

alovera pia inaweza kutibu magonjwa mbalimbali kama vile mkanda wa jeshi,malaria,inaongeza kinga za mwili,saratani(cancer),bawasiri,huwasaidia wanawake wanaochelewa hedhi,vidonda vya tumbo na kuongezasiku kwa wagonjwa wa ukimwa.


JINSI YA KUANDAA DAWA HIYO.

chukua vipande vitatu vya alovera,osha vizuri kisha katakata vipande vidogovidogo.Weka vipandehivyo kwenye maji safi na salama yenye uvuguvugu,kiisha subiri kwa muda wa masaa kumi na mbili.Chuja vizuru kisha unaweza kuanza kutumia.

Tumia nusukikombe cha chai kutwa mara 3 kwasikutano mfululizo.

           (usitumie ukiwa unamimba au ukiwa unanyonyesha).

 share na kwawenzako.

   bofya hapa kwahabari za kilasiku.BUSEGAYETU

Comments