PICHA ZA WATOTO WALIOKUFA KWENYE AJARI YA BASI LA SHULE.

Monday, May 8, 2017

Picha za wanafunzi 32, walimu 2 na dereva mmoja wa Shule ya Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari Karatu mkoani Arusha

Seebait.com 2017SeeBait
Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.

==>Hizi ni picha za walimu na wanafunzi waliofariki katika ajali hiyo 
MUNGU awalaze mahala pema peponi.

Comments