ORODHA YA VYUOVIKUU BORA TANZANIA.

ORODHA YA VYUOVIKUU BORA TANZANIA.
Shirika la University Ranking limetoa orodha ya Vyuo Vikuu bora Tanzania. Orodha hii imezingia ubora wa elimu inayotolewa na chuo husika, umahili wa wahitimu wawapo kazini na wingi wa miamala ya utafutwaji kwenye mitandao ya usakaji yaani Search Engines. Kwa mujibu wa Shrika hilo Jumaclick.com tumekosogezea vyuo 25 ambavyo vimeoongoza kwa ubora Tanzania. Tazama Orodha hapa!
NAFASI JINA LA CHUO CHUO KILIPO
1 University of Dar es Salaam Dar es Salaam
2 Sokoine University of Agriculture Morogoro
3 Mzumbe University Morogoro
4 Muhimbili University of Health and Allied Sciences Dar es salaam
5 The University of Dodoma Dodoma
6 Tumaini University Makumira Arusha
7 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology Arusha
8 Ardhi University Dar es Salaam
9 St. Augustine University of Tanzania Mwanza …
10 Mount Meru University Arusha
11 The State University of Zanzibar Zanzibar City
12 The Hubert Kairuki Memorial University Dar es Salaam
13 Catholic University of Health and Allied Sciences Bugando
14 St. John’s University of Tanzania Dodoma
15 International Medical and Technological University Dar es Salaam
16 Muslim University of Morogoro Morogoro
17 Mbeya University of Science and Technology Mbeya
18 Teofilo Kisanji University Mbeya
19 The University of Arusha Arusha
20 Zanzibar University Zanzibar City
21 Sebastian Kolowa Memorial University Lushoto
22 St. Joseph University in Tanzania Mbezi Luguruni
23 University of Bagamoyo Dar es Salaam
24 United African University of Tanzania Dar-es-Salaam
25 Eckernforde Tanga University Tanga
Un Katavi University of Agriculture Katavi
Ufunguo: Un=Unranked
ORODHA NYINGINE ZIKO HAPA

  1. Orodha ya vyuo bora vya Kiislamu duniani.
  2. Orodha ya vyuo bora ya Kanisa Katoliki duniani
  3. Orodha ya vyuo bora vya Wasabato duniani
  4. Orodha ya vyuo bora vya Warutherani duniani
  5. Orodha ya vyuo bora vya Waanglikana duniani
  6. Orodha ya vyuo bora vya Wapendekosti duniani
  7. Vyuo vikuu bora Tanzania kwa mwaka 2016
  8. Orodha ya vyuo Vikuu bora 100 duniani   ORODHA HIYO NI KWA VYUOVIKUU HIVYO PAMOJA NA MATAWIYAKE .

Comments