YANGA YA KUTANISHWA TENA NA WAARABU.

Timu pekee inayo iwakilisha Tanzania katika michuano ya Africa ,timu ya YANGA imepagwa na MC Alger, ya nchini Algeria katika mchujo wa kuwania hatua ya makundi yakombe la shirikisho Afrika.

Shirikisho la mpira wa miguu barani A frika (CAF) lenyemakao makuu yake Cairo nchini misiri,upangaji huo umehusisha timu zilizovuka hatua ya 32bora ya kombe la shirikisho nazile zilizotolewa kwenye hatua hiyo ya ligi ya mabingwa barani Afrika

timu zilizotolewa kwenye ligi ya mabigwa zitakutana na timu zinazosongambele katika kombe la shirikisho,katika mechi za nyumbani na ugenini kuwania nafasi ya kucheza katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho.

mechi za kwanza zitacheza tarehe 7 hadi 9,namaruiano yatakua tarehe 14 hadi 16 mwezi wa nne mwaka huu.

Yanga ambao ni mabigwa watetezi wa ligikuu ya Vodacom,wameingia kombe la shirikisho baada ya kutolewa kwenye klabu bingwa Afrika na Zanaco ya nchini Zambia.

 kila la kheri Yanga,waTanzania tuungane tuipe hamasa Yanga,bila kujali utani wa Simba na Yanga.

           share na kwawenzako.

Comments