SIRI ZA MAFANIKIO.

Kama unataka kuwa mmjo kati ya watu wenye mafanikio makubwa,tumia njia zifuatazo:-

1: MTANGULIZE MUNGU.
Hii ni njia kubwa kabsa kuliko zote,kwasababu mungu ndie anaetoa ridhiki kwawote  na  mungu hana upendeleo kwa yeyote.

2:KUWA NA MALENGO.
Usiishi bila kufikiria kua, baada ya miaka 5 au zaidi,utakua wapi kimaendeleo.kuwa namalengo kwanza kisha ishi kwenye hayo malengo yako,hakika utafanikiwa..

3:JIAMINI.
hii ni njia yenyesiri kubwa sana ya mafanikio.jiamini unaweza kama wengine walio weza, Amini kua malengo yako lazima yatatimia.

4:TUMIA MUDA VIZURI
Muda ni kipimo kizuri sana cha maisha yako ya baadae.ukitumia mudawako ktk mambo ya msingi,hakika utafanikiwa kimaisha.Lakn ukitumia muda wako ktk mambo ya anasa,ndugu yangu utakuja kujuta nakusema ,kama ningejua ningetumia muda wangu vzr..

5:THUBUTU.
Azisha mradi kwa mtaji ulionao,usisubiri pesa iwe nyingi ndio uthubutu.kubuka kua pesa haina kikomo cha kutosheka nayo.Ukiwa na laki moja  utatamani kuwa nazo mbili,ukiwa na milion  utahitaji bilioni.hapo utaonakua pesa haina kikomo.Anzisha mradi kwakipato chako hicho ulichonacho.

6:KUWA MVUMILIVU.
Hakuna kitu ambacho ni rahisi hiidunia,lkn unatakiwa kuwa mvumilivu kukabiliana kila hali iliyopo mbele yako.usiwe mwepesi wa kukata tamaa,  kumbuka kua hata aliye tengeneza mshumaa alikosea zaidi ya mara 500,angekata tamaa asinge fanikisha lengolake.
   
   Hongera sana kwa safari yako ya mafanikio..

Tembelea blog hii kwa taarifa mbalimbali..asante..

Comments