Baada ya kutolewa kwenye champions league na Monaco,mabosi wake wamekua wakilalamika kua,timu yao ilistahili kufika fainali za kombe hilo,wakiangalia uwezo wa wachezaji waliokua nao hasa katika safu ya ushambuliaji.
Manchester city wametumia zaidi ya E80m kusajili mabeki wawili ambao ni Otamendi, na stones, lakini safu yao ya ulinzi imezidi kuwa mbovu nakusababisha makosa yanayo igharimu timu.kwanye mechi dhidi ya Monaco,Mabeki wa city walizembea kuucheza mpira wa cross ambao Bakayoko aliuwahi na kuutia nyavuni.Tatizo la mabeki limekua likimnyima raha kocha wa Manchester city GURDIOLA na sasa anatarajia kuingia sokoni kutafuta mabeki anaowataka kwakiasi kikubwa cha pesa.Kompany ali shapona majeruhi yake lakini hana furaha kwenye timu na yupo njiani kuondoka.Mabeki wengine wanao weza kuondoka man city ni sagna,clichy pamoja na zabaleta.Gurdiola anataka kumsajili beki wa Juventus ambae ni Leornado Bonucci.Pia manchester city wanamuwania beki wakushoto wa valencia Jose Gaya, pia na beki wa Bayern munich Joshua Kimmich,na yeye anawidwa na manchester city.
Hata kwaupande wa kipa,man city bado ni tatizo.Tangu kuondoka kwa Joe Hart,tatizo lakipa limekua ni kikwazo kwa man city kupata matokeo, Gurdiola anatafuta kipa mmoja ili kujiweka vizuri kwa msimu unaofuata.
inasemekana kua Man city wametenga E200m ili kuijenga upya man city.

Subira said inahitajika kupata partnership nzuri kati ya stone na otamendi
ReplyDelete